Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Shehe wa mkoa wa mbeya  kulia Ndugu Mohamed Mwansansu pamoja na Askofu Thomas Kongolo mwakilishi wa jukwaa la wakristo mkoa wa mbeya kwa pamoja wakimkabidhi tuzo Mheshimiwa Makongoro Nyerere (Mb) afrika mashariki kwa niaba ya familia ya Hayati Baba wa taifa Mwl.Julias Nyerere tuzo ambayo imetolewa na viongozi hao wa dini kwa kutambua mchango na utumishi uliotukuka kwa Baba wa taifa mwalimu Nyerere , hafla ambayo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa jijini mbeya Mei 25 mwaka huu.









Makongoro Nyerere akizungumza katika hafla hiyo




Viongozi mbalimbali wa kidini.Siasa na wananchi mbalimbali wa jiji la mbeya wakimsikiliza kwa makini Mheshimiwa Makongoro Nyerere mara baada ya kupokea tuzo kutoka kwa viongozi hao wa dini ambayo imelenga kutambua mchango na utumishi uliotukuka kwa Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julias Nyerere Mei 25 mwaka huu katika ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya .















Picha ya pamoja






Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top