Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Naibu katibu Mkuu ccm bara na Naibu waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akiewa katika foleni ya kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVRA nyumbani kwao katika kijiji  cha Misigiri-Iramba



Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akisubiri kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Naibu Katibu Mkuu CCM  Bara Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akitia saini kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kutumia mfumo wa Bvra.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top