Kamati
ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF inatarajiwa
kukutana jumapili tarehe 24, Mei mwaka huu ikiwa ni kikao cha kawaida
cha kamati hiyo.
Moja
ya ajenda katika kikao hicho itakua ni kupokea na kujadili mienendo,
maandalizi na maendeleo ya timu zaetu za Taifa za mpira wa miguu nchini.







Post a Comment