| Wanafunzi wa shule mbalimbali za jiji la mbeya wakiwa ndani Lori kuelekea katika vituo vyao vya shule kufutia mgomo wa daladala na mabasi makubwa . |
| HE!!! kumbe hawa si abiria ni madereva na makonda wa daladala nao wakihaha kutaka kutoa huduma lakini ndo hivyo wanasubiri tamko la viongozi wao |
| hatimaye bajaji zatinga kazini kuwahi fursa |
| Hapo kwenye Lori hakuna nauli ni msaada tu.(Picha na Fahari News) |






Post a Comment