Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akikagua wachezaji wa timu za Mbeya city na Prisons katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ambapo Prisons waliibuka washindi kwa kuifunga Mbeya city goli moja .

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akimkabidhi zawadi mchezji wa mwezi James Ambros na kukabidhiwa ngao pamoja na fedha yenye thamani ya shilingi mili moja zoezi ambalo limefanyika katika mchezo kati ya Mbeya City na Prisons ambapo matokeo ya mechi hiyo Mbeya City ilikubali kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya hasimu wake Prisons .


Kikosi cha Mbeya city wqzoa taka wa jiji la mbeya .

Kikosi Cha Tanzania Prisons Maafande

Beki hatari wa mbeya city akimzuia mchezji wa Prison kukatiza katika eneo la hatari katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa kumbukumbu ya sokoine mbeya.


Mechi ikiendelea



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top