Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya kichina ya cci wakiendelea na ukarabati wa barabara kipande cha  stendi kuu ya mabasi -mabatini jijini mbeya ambacho kimehariba kipindi kifupi mara baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro 27 -7-2014 .picha Jamiimojablog










kazi ikiendelea....



Osward Kasambala (pichani) mhandisi barabara halmashauri ya jiji la mbeya akisimamia zoezi la ukarabati wa kipande cha barabara kilichoharibika ambapo amesema kuwa ukarabati huo wa barabara ya mbalizi load eneo la stendi kuu ya mabasi - Mabatini ni sehemu ``kuongezea tabaka ili kuipa uhai zaidi barabara hiyo.







Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top