Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Gari dogo  la kampuni ya Cement ya Lafarge likiwa ndani ya mto sisimba mita chache kutoka stendi kuu ya mabasi jijini mbeya ambapo inadaiwa kuwa dereva wa gari hilo alikuwa katika harakati za kukwepa mabasi yanayokwenda mikoani na kutumbukia mtoni june 3 mwaka huu majira ya saa 12 asubuhi.picha E.Madafa








Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top