Katibu Mkuu, ACT-WAZALENDO.
MGOMBEA URAIS ACT AMPONGEZA MAGUFULI
Muda mfupi uliopita mgombea urais wa chama chetu amempigia simu ndg.
John Pombe Magufuli na kumpongeza kwa ushindi na kumtakia kila la kheri
pia amemuomba aisome #IlaniYaACTWazalendo ina mambo mazuri kwa Taifa letu.
Katibu Mkuu, ACT-WAZALENDO.
Katibu Mkuu, ACT-WAZALENDO.
Post a Comment