Kachumbali yenye mchanganyiko wa ,Vitunguu maji,Nyanya ,na Pilipili Hoho |
Mchanganyiko wa Mayai,Pilipili Hoho,Nyanya ,Vitunguu Maji |
Napenda nikwammbie kuwa kampeni yangu ni kuhakikisha unaishi mwenye afya kwa kuyazingatia haya.
Mwili wako unapokuwa umeanza kuwa mashine inayo unguza mafuta itakuchukua takribani siku 5 hadi wiki. Naa baada ya hapo, kuwa makini sana kufuatilia mlo wako kwani ndio nguzo yako na ili usirudi nyuma kabisa.

Leo nakufundisha breakfast nzuri inayo endana na kampeni yangu.
MAHITAJI
-Vitunguu maji vikubwa 2
-Pilipili hoho Moja
-Nyanya kubwa 2
-Mafuta ya olive /Alizeti
-Mayai sita ya kienyeji
-Vifaa vya kupikia na jiko lako
Baada ya kuandaa mahitaji hayo basi fanya hatua zifuatazo.

1. Tengeneza kachumbari ya nyanya mbili na vitunguu maji 2 na pilipili hoho weka chumvi kwa mbali sana.
2. Weka kwenye kikaango chenye mafuta mafuta ambayo tayari yanachemka. Subiria dk 2 hadi 3
3. Vunja mayai yako yote 5 kisha weka katika kikaango chako baada ya zile dk 3 kuisha.
4. Kaanga mayai yako mpaka yakauke, itakuchukua sio zaidi ya dk 10 kama moto ni wakutosha.

4. Ipua na unaweza kutumia chakula chako na kinywaji chako ulicho andaa,
-MAJI YA KAWAIDA
-MAZIWA
-Maji ya moto na mdalasini au Tangawizi
Nk
-MAJI YA KAWAIDA
-MAZIWA
-Maji ya moto na mdalasini au Tangawizi
Nk
Furahia breakfast yako ukiwa ndani ya programu yangu kijijini.
Hio ndio iwe MBADALA WA CHIPS YAKO kama ulikuwa unapenda sana viazi mviringo ambavyo ni hatari sana kwako.

Maandalizi hayo sijaweza chakula chochote chenye pure wanga na sukari nyingi kabisa.
Kinakufaa kwa matumizi yako unayetaka kupungua uzito.
Mayai yana good cholesteral sana na protein nyinhi na yatakusaidia sana kuhakikisha unashinda ukiwa umeshiba maana mwili wako umeanza siku vizuri kwa kutumia protein na mafuta mazuri asubuhi.
Siku njema huanza asubuhi, anza na kifungua kinywa hiki.

#Hiki kifungua kinywa unaweza kuandaa na ukaenda nacho ofsini kwako.
KIWANGO CHA MJUMUISHO WA VIINI LISHE KTK BREAKFAST HIO
Calories 374 • Total Fat 29g • Protein 20g • Fiber 1.5g • Sugar 8g • Sodium 219mg • Carbohydrates 7.5g
Kiwango cha Fats ni 29gram
Kiwango cha protein 20gm
Halafu sukari na wanga viko chini sana. Ndio lishe ya kila siku inatakiwe iwe, Mwili wako ukisha fanya KETONE ADAPTATION UTAFURAHIA UZITO UNAVYOSHUKA HUKU UKIPONA MAGONJWA MENGI

FAT DOES NOT MAKE YOU FAT, MY ENEMY IS SUGAR!
(Imeandaliwa na Dr Boaz Mkumbo MD)
Post a Comment