Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya asubuhi ya leo iliyohusisha
mabasi ya Hood ya Mbeya na Arusha na basi la Best linalofanya safari
zake Mbeya na Mwanza pamoja na lori eneo la Inyala Mbeya
Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo.
Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP AHMED MSANGI amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Post a Comment