Home
»
»Unlabelled
» Uchina iko tayari kufanya majaribio kwa gari lake la moshi lisilo na magurudumu pamoja na reli yake . Reli hiyo ya kipekee ina urefu wa kilomita 18.5 na itaunganisha kituo cha reli cha kusini na uwanja wa ndege wa Huanghua ulioko katika eneo la Changsha, Mkoa wa Hunan,China ya kati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment