MKUU wa Mkoa wa Mbeya leo ametimiza ahadi yake aliyoitoa siku 13
zilizopita katika mkutano wa hadhara kijiji cha Ikoga mpya wilaya ya
Mbarali kuwa serikali italipa mapunjo YA fidia kwa WAHANGA wote katika
mwezi huu wa nane na si vinginevyo
Katika kuthibitisha ukweli wa ahadi yake leo tarehe 29 August ktk mkutano wa hadhara kijiji cha Ikoga mpya Mkuu wa Mkoa amekabidhi uongozi wa Halmashauri YA Mbarali HUNDI YA sh 362,822,000 na kuagiza Alhamis malipo yaanze kufanyika kwa walengwa
Amewaonya watendaji wa halmashauri YA Mbarali kutokucheza na Fedha hizo badala yake waweke majina YA walengwa kwenye mbao za matangazo na kila anayelipwa ahakikiwe na kupigwa picha
Amewashukuru wananchi kwa uvumilivu kwani mapunjo hayo wameyasubiri kwa miaka saba sasa tangu serikali ilipolipa fidia kwa ajili ya wananchi wa Vijiji 7 na vitongoji 3 walipohamishwa kupisha Hifadhi YA Taifa YA RUAHA na maeneo tengefu kwa ajili ya kutunza vyanzo vya Maji kwa ajili ya wanyama na mto Ruaha ili kudhibiti kukauka kwa mabwawa YA Kidatu na Mtera

Post a Comment