Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
Kisiwani Pemba kwa ajili ya kuzungumza na wanachi wa Kisiwa hicho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Abdallah mara baada ya
kuwasili kisiwani humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
ngoma ya kuyumbizi mara baada ya kuwasili Kisiwani Pemba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
shada la maua katika Kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa
Rais wa zamani katika awamu ya Tatu katika kijiji cha Wawi Bigilini
kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisali
kwenye kaburi hilo la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa
zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake
chake Pemba.
Mama
Janeth Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Dkt.
Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini
kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
mkewe Mama Janeth Magufuli Magufuli wakiomba dua iliyokuwa ikiongozwa
na Kiongozi wa dini ya Kiislamu Shekhe Mohamed Suleiman mbele ya kaburi
la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji
cha Wawi Bigilini kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli azungumza
mara baada ya tukio la uwekaji mashada katika kaburi la Marehemu Dkt.
Omar Ali Juma Makamu wa Rais wa zamani katika kijiji cha Wawi Bigilini
kisiwani katika Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais
Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono viongozi mbalimbali wa mkoa wa
Dar es Salaam katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere wakati akielekea Kisiwani Pemba.
Picha na IKULU
Post a Comment