Muonekano wa jengo la vyoo vya walimu katika shule ya Msingi Ipinda lenye matundu matano ambalo ujenzi wake umegharimu kiasi cha shilingi milioni8. |
Meza kuu katika Picha ya pamoja na walimu na wajumbe wa bodi ya shule ya Msingi Pinda. |
Meza kuu na wafanyakazi wa benki ya Posta Tanzania TPB tawi la Kyela na Mbeya. |
Meza kuu katika picha ya pamoja na wadau na viongozi wa serikali ya kijiji cha Ipinda Wilaya ya Kyela. |
Vyoo vilivyokuwa vikitumiwa na walimu wa shule ya Msingi Ipinda kabla ya kujengewa vyoo vipya na benki ya Posta Tanzania (TPB).PICHA E.MADAFA |
Post a Comment