Juu kwa juu. Hii ni treni mpya ya China ambayo inapita kwenye reli ikiwa imening’inia. Sasa imefanyiwa majaribio ya kwanza katika mji wa Chengdu. China inakuwa ya tatu kuwa na teknolojia kama hii ambayo tayari imetumika nchini Japan na Ujerumani.
Msanifu mkuu wa treni hii Zhai Wanming, amesema treni hii itasafiri kwa
mwendo kasi wa kilomita 60 kwa saa na inaweza kubeba abiria 100 na
inatumia betri za lithium.CRI KISWAHILI |
Post a Comment