Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya
Tanzania, Mhe. Ferdinand Wambali (wapilikushoto) akiwa ofisini kwa Mkuu
wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Mstaafu, Mhe. Salum Kijuu
alipomtembelea ofisi kwa Mkuu wa Mkoa huyo kumpa pole kufuatia tetemeko
la ardhi lililotokea mkoani Kagera mnamo tarehe 10.09.2016 na
kusababisha maafa katika baadhi ya miundombinu mkoani huo, Mahakama Kuu
ikiwa mojawapo. Kulia ni Mhe. SalvatoryBongole, Jaji Mfawidhi wa
Mahakama Kuu- Kanda ya Bukoba.
Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya
Tanzania, Mhe. Ferdinand Wambali, (wa pili kulia) akikagua jengo la
Mahakama Kuu, Kanda ya Bukoba ambalo lilipata mipasuko ‘minor cracks’
kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera. Pamoja ni Jaji
Kiongozi, wa pili kushoto ni Mhe. Jaji Matogoro, Jaji wa Mahakama Kuu,
Kanda ya Bukoba, wa nne kushoto ni Mhe. Ilvin Mugeta, Msajili- Mahakama
Kuu ya Tanzania ambaye aliambatana na Mhe. Jaji Kiongozi katika ziara
yake Mkoani humo.
Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda
ya Bukoba, Mhe. Salvatory Bongole, akiongea kitu mbele ya Watumishi wa
Mahakama, Kanda ya Bukoba kabla ya kumkaribisha rasmi Mhe. Jaji Kiongozi
kuongea na Watumishi wa Mahakama wa Kanda hiyo mara baada ya kukagua
jengo la Mahakama lililopata maafa kufuatia tetemeko la ardhi.
Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu Kanda
ya Bukoba, Mhe. Salvatory Bongole, akiongea kitu mbele ya Watumishi wa
Mahakama, Kanda ya Bukoba kabla ya kumkaribisha rasmi Mhe. Jaji Kiongozi
kuongea na Watumishi wa Mahakama wa Kanda hiyo mara baada ya kukagua
jengo la Mahakama lililopata mipasuko kufuatia tetemeko la ardhi.CREDIT FULLSHANGWEBLOG
Post a Comment