Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mzee mmoja katika mkoa wa Hubei nchini China amebuni njia ya haraka ya kufagia barabara.
Amefunga fangio 20 za mianzi kwenye trekta na kwa siku anaweza kufagia kilomita 20 za barabara.(Chanzo CRI Swahili)

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

Top