Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimpokea mjane wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel Sitta, Mama
Margaret Sitta (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Jeneza
lenye mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel Sitta likiwa
limebebwa na askari mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwaongoza viongozi mbali mbali wakati wa mapokezi ya mwili wa Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mwandamizi
Mstafu Marehemu Samuel Sitta
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan pamoja na Katibu Mkuu wa UWT Mhe. Amina Makilagi (kushoto) wakimfariji akimfariji Mama
Margaret Sitta (katikati) wakati wa mapokezi ya mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel Sitta kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Hassan pamoja na Katibu Mkuu wa UWT Mhe. Amina Makilagi (kushoto) wakimfariji akimfariji Mama
Margaret Sitta (katikati) wakati wa mapokezi ya mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Waziri Mwandamizi Mstafu Marehemu Samuel Sitta kwenye uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza viongozi na
wananchi katika mapokezi ya Mwili wa Spika Mstaafu Samuel Sitta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam ukitokea nchini Ujerumani alipofariki wakati anapatiwa matibabu.

Akizungumzia jinsi anavyomfahamu Samuel Sitta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema Taifa limeondokewa kiongozi mwadilifu,mzalendo, mchapakazi na mtetezi
wa wanyonge hivyo taifa litaendelea kuumuenzi
utendaji wake.

Viongozi mbalimbali waliojumuika na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Suluhu Hassan katika mapokezi ya mwili wa Spika Mstaafu Samweli Sitta
kweye Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere ni pamoja na Makamu wa
Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Seif Ali Iddi, Waziri wa Mambo ya
Nje, Ushirikiano wa Afrika, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Baada ya
Mwili wa Spika Mstaafu Samuel Sitta kuwasili nchini leo mchana amepelekwa
nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam ambapo hapo kesho asubuhi viongozi
na wananchi watatoa heshima zao ya mwisho za kuuaga mwili wa marehemu katika
viwanja wa Karimjee jijini.FULLSHANGWEBLOG

Post a Comment