Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa shukrani kwa makundi
mbalimbali, wakuu wa idara pamoja na wadau waliofanikisha ziara yake ya
kutembelea Wilaya zote za mkoa wa Dar es Salaam kujionea kero
zinazowakabili wananchi pamoja na kuzitolea Majibu. Picha zote na
Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
Home
»
»Unlabelled
» MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA ATOA SHUKRANI KWA MAKUNDI MBALIMBALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment