Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majumuisho ya ziara
yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha,
Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho
Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao cha majukmuisho ya ziara
yake ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa
Arusha, Desemaba 18, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho
Gambo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Arusha, Lekule
Laiza.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi
ya Wenyeviti wa halmashauri za mkoa wa Arusha wakisikiliza kwa makini
hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya majumuisho ya ziara yake ya
mkoa huo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Desemba 18,
2016.
Wabunge
wa Arusha wakifuhia hotuba ya majumuisho ya Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa huo kwenye ukumbi wa ofisi ya
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , Desemba 27, 2016. Kutoka kushoto ni Mbunge wa
Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Viti Maalum Amina Mollel na
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Baadhi
ya Wenyeviti wa halmashauri za mkoa wa Arusha wakisikiliza kwa makini
hotuba ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ya majumuisho ya ziara yake ya
mkoa huo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Desemba 18,
2016. 9Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mbunge
wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari, akionyesha ishara ya kukubaliana
na maneno ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipotoa hotuba ya
majumuisho ya ziara yake mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Desemba 28, 2016. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Amina
Mollel.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo
(kushoto) wakizungumza na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (wapili
kulia) na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli, Isaac Joseph
(kulia) baada ya Waziri Mkuu kumaliza kikao cha majumuisho ya ziara yake
mkoani Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa mkoa huo, Desemba 18, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Meya wa jiji la
Arusha,Mstahiki,Kalisti Lazaro (kulia) baada ya kumaliza mkutano wake
wa majumuisho ya ziara ya Arusha kwenye ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa
Arusha, Desemba 28, 2016. Wapili kushoto ni Mbunge wa Arumeru
Magharibi, Gipson Mesiek na wapili kulia ni Mbunge wa Monduli, Julius
Kalanga.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa jiji la Arusha, Mstahiki
KalistiLazaro (wapili kulia) na wabunge wa upinzani waliohudhuria
katika mkuano wake wa ajumuisho ya ziara ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi
wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Wengine kutoka kushoto ni
Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Monduli, Julius
Kalanga na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meya wa jiji la Arusha, Mstahiki
KalistiLazaro (wapili kulia) na wabunge wa upinzani waliohudhuria
katika mkuano wake wa ajumuisho ya ziara ya mkoa wa Arusha kwenye ukumbi
wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Desemba 28, 2016. Wengine kutoka kushoto ni
Mbunge wa Arumeru Magharibi, Gipson Mesiek, Mbunge wa Monduli, Julius
Kalanga na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari.
Post a Comment