Hillary Clinton na mumewe Bill
wamethibitisha kwamba watahudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais mpya wa
Marekani Donald Trump mjini Washington DC.
George W Bush na mkewe Laura pia wametangaza kwamba wanapanga kuhudhuria sherehe hiyo mnamo tarehe 20 Januari.
Wamesema wanataka "kushuhudia kukabidhiwa madaraka kwa rasi mwingine kwa njia ya amani."
Post a Comment