Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop wa kwanza
kulia wavivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya
Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la
Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
–TAMISEMI George Simbachawene pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
makofi pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –TAMISEMI George
Simbachawene na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa wakati Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar
Diop wakwanza (kulia) akivuta utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa Awamu
ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka
katika jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka
kadi ya Kieletroniki katika Mashine ya UDART ilikuweza kupita kama
ishara ya Ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji
Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam. Pembeni
yake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais –TAMISEMI George Simbachawene
akimuelekeza jambo katika mashine hizo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar Diop pamoja na
viongozi wengine wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Awamu ya
Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika
jiji la Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita
kwenye mashine hizo mara baada ya uzinduzi wa Awamu ya Kwanza ya
Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono kwa wanahabari mara baada ya kuzindua utoaji huo wa huduma ya
usafiri.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
mara baada ya kuendesha gari la Mwendo Kasi katika kituo Kikuu cha
Mabasi yaendayo Haraka (BRT) mara baada ya kufungua rasmi Awamu ya
Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika
jiji la Dar es Salaam.
ais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia
mkono pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar
Diop mara baada ya kutoka kukagua moja ya basi linalotumika katika
utoaji huduma ya Usafiri wa Haraka (BRT)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Makhtar
Diop wakati Msanii Mrisho Mpoto alipokuwa akitumbuiza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na
na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mhe. Makhtar Diop
kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na
Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo
Januari 25, 2017.
Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mhe. Makhtar Diop akiongea
machache kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya
Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la
Dar es Salaam leo Januari 25, 2017.
PICHA NA IKULU
Post a Comment