Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili
Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye
urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu
Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili
Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye
urefu wa kilometa 71.8.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma za asili pamoja na
kikundi cha Ngoma za asili Baseki cha Bariadi mkoani Simiyu mara baada
ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya
Bariadi-Lamadi.

Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Ujenzi
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kufungua rasmi
barabara hiyo la Bariadi-Lamadi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu Antony Mtaka kabla ya kufungua barabara ya Bariadi-Lamadi na
kuwahutubia wananchi wa mkoa huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Mkuu wa Mkoa
wa Simiyu Antony Mtaka wakati vikundi vya kwaya mbalimbali vilipokuwa
vikitumbuza Bariadi mkoani Simiyu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya nguzo katika ujenzi
wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi mbalimbali pamoja
na madaktari na manesi mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu. PICHA NA IKULU
Post a Comment