Rais
mpya wa Ghana, Nana Akufo-Addo ameanza uongozi wake kwa kuzichukua
headline kwenye mitandao ya kijamii baada ya jumamosi wakati akiapishwa
kutoa hotuba ambayo sehemu yake imeonekana kufanana na hotuba ya Rais wa
zamani wa Marekani, George Bush.
Hata hivyo mkurugenzi wa mawasiliano ofisi ya Rais wa Ghana ameomba radhi kwa kile kilichotokea. Unaweza kuitazama hapa chini.
Post a Comment