UBUNGO,
DAR: Katika hali ya kushangaza gari la maji taka lamwaga uchafu
unaodhaniwa kuwa ni kinyesi katika maeneo ya makutano ya barabara
maarufu kama Ubungo Mataa. - Kwa mujibu wa chanzo kisichokuwa
rasmi inadaiwa kuwa kuna vijana wasiofahamika walifungua koki ya gari
hilo na kusababisha kadhia hiyo. |
Post a Comment