Serikali ya CCM ikinionyesha tani 1.5m za chakula kutoka Hifadhi ya
Taifa ya Chakula ambazo inataka kusambaza najiuzulu Ubunge mara moja. Narudia, mpaka Oktoba 2016 kulikuwa na nafaka tani 90,400 tu Hivi kwenye maghala yote ya NFRA.
Tunashukuru kuwa Hivi sasa ajenda ya tishio la njaa inapata majawabu na
matamko. Ndio wajibu wa vyama vya siasa. Kuibua masuala muhimu kwa nchi
yetu.
Nimesikia Mwenezi wa CCM ameongea na waandishi Leo. Natarajia ndugu Ado Shaibu atamkaribisha mwenzake ulingoni
|
Post a Comment