|
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Ndugu Suzana Mkapa akihutubi katika mahafali ya kumi na tano ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tano kufanyika katika Kampasi ya Mbeya mwishoni mwaka wiki jijini Mbeya. |
Idadi
ya wahitimu wote ni 1818 wakiwemo wanawake 915 sawa na asilimia 49.7 ambao
wametunukiwa cheti cha awali, stashahada, shahada na stashahada ya uzamili na
kwamba taasisi hiyo imeweza kumiliki kampasi Mbeya, Singida, Mwanza, Mtwara na
Kigoma.
|
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA)Dk. Joseph
Kihanda akitoa taarifa za Taasisi hiyo wakati wa Mahafali ya 15 ya
Taasisi hiyo yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya |
|
Mwenyekiti wa Bopdi ya Ushauri ya Wizara, Wakili Said Chiguma akitoa
hotuba yake kwa wahitimu wa fani mbalimbali wakati wa mahafali ya 15 ya
Taasisi ya Uhasibu Tanzania yaliyofanyika katika Kampasi ya Mbeya |
|
Wahitimu wa Shahada ya Kwanza ya Manunuzi na ugavi wa Chuo cha Uhasibu
Kampasi ya Mbeya wakiwa wamesimama wima wakipokea shahasda yao kutoka
kwa mgeni rasm |
Post a Comment