Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hata sisi tunajali afya zetu si kwa wakubwa tu

Daktari bingwa Figo katika Hospitali ya Rufaa mbeya Octabenny Kassanga akitoa maelezo kwa Meya wa jiji Mbeya Atanas Kapunga namna shughuli za matibabu ya Figo zinavyo fanyikamkatika Hospitali hiyo.
Tunasubiri kuhudumiwa
Mkurugenzi Hospital ya Rufaa Mbeya Dr Ommari Saleh akifafanua jambo kwa meya wa jiji la mbeya Atanas Kapunga ambaye alifika Hospitalini hapo kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na Chama cha Madaktari Bingwa wa figo katika kuadhimisha siku ya Figo Duniani
Meya wa Jiji la Mbeya Ndugu Atanas Kapungu ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa utoaji huduma za kiafya zinazo tolewa na Chama cha Madaktrari Bingwa wa figo katika Hospitali ya Rufaa jiji Mbeya ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya siku ya figo Dunian ambapo katika maelezo yake amewataka wananchi wa jiji la mbeya na vitongoji vyake kutumia fursa hiyo kwa kufika  kujua afya zao ambapo bila gharama yoyote pamoja na kusisitiza juu ya   wananchi hao kuacha tabia ya kuamini tiba mbadala kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji
.
Rais wa Chama cha Madaktari Bingwa wa figo Tanzania ambaye pia Daktari bingwa wa figo katika Hospital ya Muhimbili Onesmo Kisanga akitoa ufafanuzi wa waandishi wa habari juu ya utoaji huduma hizo za figo kwa wananchi.picha na Jamiimojablog.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top