Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Meneja wa Uwanja wa Sokoine Ndugu Modestus Mwaluka wa Pili kulia mwenye Miwani pamoja na fundi Mkuu wa Ukarabati wa Uwanja huo kwa awamu ya pili Ndugu Kulwa Mayuma wakiendelea na shughuli za kuboresha baadhi ya maeneo ndani ya uwanja huo.

Mafundi wakiendelea na ukarabati katika Eneo la Mbele la uwanja huo ambalo hutumika kwa ajili ya kupumzikia wachezaji



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top