Eneo jipya linalo tumiwa na wafanyabiashara Ndogondogo Machinga Jijini Mbeya katika barabara ya iendayo Block T karibu na Stend ya Mabasi Madogo Daladala Kabwe ambalo limeanza kutumika hivi karibuni kutokana na Halmashauri ya Jiji la Mbeya kuwamisha wafanya biashara hao katika baadhi ya maeneo hasa pembezoni mwa barabara kuu itokayo Dar es salaam Tunduma. |
Post a Comment