![]() |
| Huyu ni mkulima bwana He Liang akiwa ndani usafiri wake mpya aliubuni mwenyewe ambalo uhutumika kama bage . |
Mkulima
mmoja nchini China ametengeneza sanduku ambalo pia ni kama pikipiki.
Sanduku hilo lina matairi mawili, na linaweza kubeba watu wawili, na linaweza
kwenda umbali wa kilomita 60 kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa. Linatumia nishati
ya betri.
Mkulima huyo
He Liang ametumia miaka 10 kuunda sanduku hili. Lina nafasi ya kutosha kuweka
nguo na likiwa tupu lina uzito wa kilo 7.BBC SWAHILI








Post a Comment