Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Viwango vya mvua vilivyopimwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini mpaka kufikia saa tatu asubuhi ya leo kwa kipimo cha milimita ni kama ifuatavyo;
Tanga 0.1
Handeni 0.7
Zanzibar 0.4
Morogoro 0.1
Arusha 0.1
Bukoba 1.0
Kibaha 1.0
Mlingano 1.0
Tafadhali endelea kufuatilia utabiri wa hali ya hewa wa kila siku. Ahsante


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top