Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Watu wengi tumekuwa tukisikia kuwa Chatu ni nyoka ambaye humeza vitu vizima lakini pengine pia wengi wetu hatujawahi shuhudia jinsigani chatu huyo jinsi anavyofanya mpaka kummeza mnyama...
Huu ni mfano mzuri ambapo Chatu huyu alifanikiwa kuumeza kuumeza mnyama Swala ....
Fuatilia hapa



Hapa Chatu akiwa anaongeza Bidii za kumkunja na kumvunja mifupa 
 


Hapa anaendelea kumvunja zaidi huku akimmeza


Akiendelea Kummeza
Hapa anavuta ngozi huku akumvuta kuumeza


Miguu ndio hiyo inaishia sasa...


Hapa  amemaliza kuumeza unaweza ukasema amefika mpaka mwisho ... lah .. chatu ni mkubwa sana amebakia sehemu kubwa tuu hapa mara baada ya kuumeza swala huyo...Usikose matukio mengine zaidi katika muendelezo wa kujua tabia za wanyama kuptia hifadhi zetu za Taifa  Tanzania.Picha Maliasili zetu




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top