| Abiria toka kabwe Mwanjelwa kwenda Uyole jijini hapa wakiwa ndani ya gari dogo la Mizigo aina ya Canter mara baada ya wamiliki na Madereva wa Daladala zinazofanya kazi katika njia ya Majengo Uyole na Sokomatola kugoma kwa madai kuwa wamepewa ruti ndefu za kutoka kabwe na kuzunguka maeneo ya Mundasti Soweto pamoja na Soweto Block T na Sido Kabwe kuanzia majira ya asbuhi leo |
Post a Comment