Na EmanuelMadafa
Habari mpya kama sio
njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana
na ‘beef’ lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibu wa taarifa mpya mitandaoni
ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza ‘beef’
lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers
anayeitwa Imelda Mtema.
Katika tukio
hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa
karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu kupitia Instagram ame-share picha
hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na kuandika "nawapenda sana hawa
hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema".CHANZO BONGO MOVIE PAGE
Post a Comment