Baadhi wa watumishi wa Halmashauri ya jiji la Mbeya wakiwa wamepanga foleni kupatiwa zawadi ya vyombo vya ndani na mmoja wa wafanyabiashara wa wa kuuza vyombo vya ndani toka jijini Mwanza ambapo kila mtumishi alipatiwa chupa ya chai moja pamoja na grasi mbili . |
Post a Comment