Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Wasamaria wema wakitoa msadaa kwa abiria walionusurika kifo  katika ajali ya bajaji barabara ya Soweto  ambapo bajaji hiyo  ilikuwa katika mwendo mkali na kushindwa kukunja kona na kubinuka upande mmoja pwaaaa.

Nimepona siamini jamani 



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top