Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Mussa Zungiza akifungua semina

 KAMPENI HIYO  YA UTOAJI WA CHANJO YA SURUA-RUBELLA ITAHUSISHA  WATOTO WENYE UMRI WA CHINI YA MIAKA 15, ITAKAYOANZA TAREHE 18 HADI 24 OCTOBA, 2014 KWENYE VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA, SHULENI NA VILE VITAKAVYOANDALIWA NA HALMASHAURI HUSIKA.

PAMOJA NA CHANJO HII, WATOTO PIA WATAPATA CHANJO YA POLIO, MATONE YA VITAMINI A PAMOJA NA DAWA ZA MINYOO.

CHANJO HII NI SALAMA NA ITAMKINGA MTOTO DHIDI YA MAGONJWA YA SURUA NA RUBELLA NA MADHARA YAKE.

CHANJO HIZI ZITATOLEWA BILA MALIPO. EWE BABA, MAMA, MLEZI HAKIKISHA MTOTO WAKO ANAPATA CHANJO.








Mganga Mkuu wa jiji la Mbeya Dkt Samuel Lazaro akitoa nasaha kwa washiriki wa semina hiyo katika ukumbi wa kanisa Kathoriki jijini Mbeya 




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top