Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Aliyekuwa kocha msaidizi wa Mbeya City Ndugu Maka Mwalisi ambaye kwa sasa kocha mkuu wa Timu ya daraja la kwanza ya Panon ya Moshi
 ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Alisema, kila kocha anapoishika timu na kuifundisha hutumia ujunzi na uwezo wake hivyo kitendo cha yeye kuendelea kubaki Mbeya City ni kufungia ujuzi  wake kabatini.

Kocha Maka alidai kuwa anaamini ya kwamba timu hiyo ikiwa na kikosi chake kile kile itaendelea kufanya vizuri ndani na nje ya nchi.

Aidha alisema  changamoto anayoiona mbele ya timu hiyo ni hatua ya wachezaji kuwa mbali nay eye kwani amekuwa na wachezaji kwa muda mrefu kabla ya hata kujiunga na mbeya city.

Alisema  kikubwa ambacho wachezaji hao watakikumbuka kwa kocha huyo ni hatua ya kuwaweka karibu na kuondoa tofauti zao pamoja na kuwaanda vyema kukabiliana na changamoto za kimchezo na maisha ya kimpira kwa ujumla wake...Na kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa machapisho yetu hapa basi utakuwa unakumbuka juu ya kisa hiki na  kama hukuwahi soma ingia katika link hii.....http://jamiimoja.blogspot.com/2014/07/kocha-msaidizi-mbeya-city-aweka-wazi.html

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top