Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mmoja wa wanakijiji cha Ivangwa Kata ya Isimani Mkoani Iringa  wakiifanyia uchuguzi mifugo hiyo ambayo ili kula sumu na kufa wakati ikiwa katika malisho ambapo inaelezwa kuwa wamiliki wa mashamba walipulizia sumu ya panya mara baada ya panya kuvamia mashamba na kula mazao    mwishoni mwa wiki kijijini hapo.

Afisa Afya kituo cha Afya Isimani ambaye jina lake halikupatikana mara moja akitoa baadhi ya viungo ya mifugo hiyo kwa lengo la kufanya uchunguzi.

Wananchi wa kijiji cha Ivangwa kata ya Isimani Mkoani Iringa wakishangaa mifugo hiyo ambayo imekufa mara baada ya kula sumu wakati wakiwa malishoni mwishoni mwa wiki.











Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top