“Shukrani kwanza ziende kwa Muumba pili kwa mama yangu mzazi. Kila jambo lenye kheri ukilifanyia subira huwa lina zaa kheri kubwa. Baada ya kushindwana Bei na ma distributors wa bongo, Kampuni moja ya waghana wameamua kuinunua Movie ya MATESO YANGU UGHAIBUNI na itaanza kusambazwa rasmi tarehe 1March. Itaanza kusambazwa UK, Europe na Marekani. Baadae ndio itaingia Tanzania. Nawao ndio watakao kuwa ma distributors wa movies zangu na za wengine. Mi naona ni hatua kubwa ya kuanza kuwafanya wasanii wa tasnia ya filam kuanza”.
Tukae mkao wa kula.







Post a Comment