Mrembo na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anayefanyia kazi zake
nchini Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusia yo
kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia taarifa za
udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu
mbalimbali kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusino ya siri.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa Instagram Ashley Toto
alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na
kuandika maneno haya.
“Waandishi wa magazeti hamuna kazi za kufanya??? au ndio hizo za kuota na kuandika vitu vya …ushuzi ...... I have nothing to do with diamond ..........I have ma boyfriend so plz ...”
Nadhani ameeleweka.
Post a Comment