Add caption |
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza wakati wa ibada maalum ya shukruni iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Msasani. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwa na mke wake wakiwa katika ibada ya Shukrani kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 20 |
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada ya Shukrani. |
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja |
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza. |
Ibada ikiendelea. |
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Kilimanjaro, Francis Mollel (wa pili kushoto) akishiriki Ibada hiyo.credt Michuzi |
Add caption |
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili akiimba nyimbo za injili.
|
Post a Comment