Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyerembe Munasa akizindua Vilabu vya Sumatra Mkoa wa Mbeya kwa shule Tano za Msingi na seekondari leo Machi 12 katika ukumbi wa Mkapa jijini hapa.


Mkuu wa wilaya ya Mbeya Munasa Nyerembe akifurahia jambo mara baada ya kuzindua rasmi Vilabu vya Sumatra kwa shule za msingi na sekondari Mkoani hapa


Picha ya pamoja






Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Munasa Nyerembe akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano (TCRA/CCC )

Hawa Ng’umbi mara baada ya kukamilisha zoezi la uzinduaji wa vilabu hivyo kwa shule za msingi.

                                                                    


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top