Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Maelezo ya utangulizi yaliyo tolewa na katibu mtendaji wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA CCC), Dkt Oscar Kikoyo katika siku ya  maadhimisho ya kitaifa ya wiki ya haki za mtumiaji duniani, katika ukumbi wa benjamini mkapa, mbeya mwishoni mwa wiki .


Mkutano ukiendelea






Hamza Johari katibu mtendaji wa baraza la usahuri la watumiaji wa Usafiri wa Anga( TCAA CCC) ,akifanya majumuisho katika kilele cha siku ya maadhimisho ya kitaifa ya wiki ya haki za mtumiaji duniani, katika ukumbi wa benjamini mkapa, mbeya



Mwandishi wa habari Mkongwe kutoka Mkoani Mbeya Mzee George Chanda akitaka kupata ufafanuzi juu ya utoaji wa huduma bora kwa  walaji katika mkutano huo.

Profesa Hamid Katiwia mwenyekiti wa jukwaa la watumiaji  EWURA CCC akichangia katika mkutano huo.

Afisa Mfawidhi Mamlaka ya usafiri wa nchi kavu na enis majini Mkoa wa Mbeya Daudi akizungumzia masuala mbalimbali yanayo husu changamoto za usafiri katika mkoa mbeya namna ofisi yake ilivyo weza kuzipatia ufumbuzi.

Picha ya Pamoja,

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp 0759 406 070

Post a Comment

 
Top