Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwahutubia mamia ya wakazi wa Kihurio Same Mkoani Kilimanjaro. |
Wakazi wa Usangi waliojitokeza kumsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli |
Waziri wa Ujenzi akiwahutubia wakazi wa Gonja wakati akipita kukagua barabara ya Kihurio hadi Gonja maore Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro. |
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiagana na wananchi wa Usangi mara baada ya kuwahutubia. |
Post a Comment