Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya
Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa
kiti cha urais baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote na kumshinda
mpinzania wake mkuu Ndugu Edwarld Lowasa aliyekuwa anagombea kwa tiketi
ya Chadema kupitia muungano wa vyama vinne vya upinzani UKAWA, Dk John
Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku
Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848 sawa na asilimia 39.97.
Home
»
»Unlabelled
» RASMI MAGUFULI RAIS MTEULE AWAMU YA TANO JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment