Meneja wa
Mauzo wa Tigo Mkoa wa Mara
Edwin Kisamo akitoa utambulisho
kwa meza kuu.
|
Meneja wa Mauzo Tigo Kanda ya Ziwa, Edgar Mapande akiongea na wageni waalikwa na wanahabari kabla ya uzinduzi wa Duka la Tigo wilayani Musoma Mjini |
Mkuu wa Wilaya ya MusomaMjini ,Mhe.Zelothe Stephen akikata utepe kufungua rasmi duka
la TigoMusomaMjini , anayeshuhudia ni Meneja
huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya
Ziwa Beatrice Kinabo.
|
Meneja wa Mauzo
Tigo Kandayaziwa, Edgar Mapande akimkabidhi
simu Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini Mhe.Zelothe
Stephen, mara baada ya uzinduzi
wa duka la Tigo Musoma mjini.
|
Meneja wa Mauzo Tigo
Kanda ya ziwa, Edgar Mapande akimkabidhi
simu Mkuu wa Polisi
Mkoa wa Mara, Philip Kalangi mara baada ya
uzinduzi wa duka la Tigo Musoma mjini.
|
Baadhi ya wateja wakiangalia
bidhaa mbalimbali mara baada
ya ufunguzi wa duka la Tigo Musoma Mjini
|
Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mjini ,Mhe.Zelothe Stephen akiwa kwenye picha ya
pamoja na wafanyakazi
wa Tigo na wadau mbalimbali.
|
Post a Comment