Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Mpoki Ulisubisya akizungumza wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku
ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu
yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ)
wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Dkt. Detlef Wachter. Meneja
Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susanne Grimm na
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk. Wedson Sichalwe.
Balozi
wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter akielezea jambo
wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo
Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika
la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa
kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susanne
Grimm akielezea jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya
mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu
yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ)
wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef
Wachter, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk.
Wedson Sichalwe.
Mganga
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dkt. Wedson Sichalwe akielezea jambo wakati wa
hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es
Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa
Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili, mradi wa kukabiliana vifo vya
watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini
Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Meneja
Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susanne Grimm.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Mpoki Ulisubisya akipokea vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu
kwa watoto njiti kutoka kwa Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe.
Dkt. Detlef Wachter katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti
dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama
ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la
Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kupitia mradi wa kukabiliana vifo
vya watoto wenye umri mdogo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Mpoki Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef
Wachter wakionyesha vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa
watoto njiti katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia
iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama ya
Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la
Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ) kwa ajili ya kusaidi Hospitali za
Mikoa ya Mtwara na Lindi iliyo katika mradi wa kukabiliana vifo vya
watoto wenye umri mdogo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Mpoki Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef
Wachter wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara
ya Afya mara baada ya kumalizika kwa hafla ya maadhimisho ya siku ya
mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na:
Frank Shija -MAELEZO)
Post a Comment