![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.
|
![]() |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana akizungumza katika mkutano huo wa tisa uliofanyika mjini Dodoma.
|
![]() |
Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao katika
mkutano huo wa tisa.
|
![]() |
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga kura kwa moja ya wagombea katika mkutano
huo wa tisa.
|
![]() |
Wanachama wa CCM wakiburidika kwa
kucheza nyimbo mbalimbali katika mkutano huo wa tisa.
|
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.